Wanawake waandamana nchini DRC kupinga vitendo vya Ubakaji | Matukio ya Kisiasa | DW | 10.11.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Wanawake waandamana nchini DRC kupinga vitendo vya Ubakaji

Maelfu ya wanawake wa Kongo wameandamana mjini Kinshasa ilikupinga vitendo vya ubakaji wanavyotendewa wanawake wenzao na ukosefu wa usalama mashariki mwa nchi hiyo.

Wanawake walioathirika na ubakaji nchini DRC

Wanawake walioathirika na ubakaji nchini DRC

Wanawake hao ambao wamepanga kuandamana kwa kipindi cha siku tatu mfululizo wameiomba jumuiya ya kimataifa kuwarejesha makwao wapiganaji wa kigeni hasa wale wa FDLR kutoka Rwanda.

Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo
Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com