Wabunge nchini Kenya wataka watambuliwe kuwa kundi rasmi la upinzani. | Matukio ya Kisiasa | DW | 22.04.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Wabunge nchini Kenya wataka watambuliwe kuwa kundi rasmi la upinzani.

Huko kenya, wabunge kadhaa wamepeleka dai kwa spika wa bunge la nchi hiyo kwamba watgambuliwe kuwa ni kundi rasmi la upinzani bungeni.

Hoja wanayotoa ni kwamba ni takwa la wananchi wa Kenya kuwa na upinzani rasmi bugneni na ni haki kwa serikali kusailiwa na kuchunguzwa nini inafanya; hiyo ni nguzo muhimu ya mfumo wa demokrasia. mmoja wa wabunge waliotia saini kuunga mkono dai hilo ni yule wa Budalanyi, magharibi ya Kenya, Bwana Ababu Namwamba.

Othman Miraji alizungumza naye na alimwambia umbali gani hatua yao imefikia.

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com