Waasi waliotaka kuipindua serikali ya Rais Museveni wa Uganda wapewa msamaha na Serikali | Matukio ya Kisiasa | DW | 10.07.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Waasi waliotaka kuipindua serikali ya Rais Museveni wa Uganda wapewa msamaha na Serikali

Mwisho mwa wiki iliyopita nchini Uganda,watu tisa wa kundi la People's Redemption Army (PRA) , waasi wanaotaka kuipindua serikali ya Rais Yoweri Museveni,walipewa msamaha na serikali baada ya kukiri makosa yao.

Hapo awali watu 12 wa kundi hili ya PRA tayari walikuwa wameshapewa msamaha na serikali.

Mwandisho wetu wa Kampala Omar Mutasa amezungumza na Alhaji Burhan Ganyanamiro, kamishna wa tume ya kutoa msamaha kwa waasi wanaojisalimisha. Bw. Ganyanamiro kwanza anaeleza jinsi tume hii inavyofanya kazi.

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com