Waasi wa Laurent Nkunda waomba mazungumzo ya moja kwa moja na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo | Matukio ya Kisiasa | DW | 17.09.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Waasi wa Laurent Nkunda waomba mazungumzo ya moja kwa moja na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

Hali ya mashariki mwa DRC inaendelea kuwa ya wasiwasi kutokana na mapigano yanayoendesha na waasi wa CNDP wanaongozwa na Laurent NKUNDA dhidi ya majeshi ya serikali ya nchi hiyo.

default

Watu wanauhama mji wa Kivu kutokana na mapigano yanayoendelea

Mashirika ya misaada ya kiutu yamechanganyikiwa kutokana na uwingi wa wahamiaji vita wa Kivu ya kaskazini na kusini.Waasi wa Laurent Nkunda wametishia kutotekeleza makubaliano ya amani ya GOMA na kuomba mazungumzo ya moja kwa moja na serikali ya Kongo.

Taarifa kamili na mwandishi wetu saleh Mwanamilongo.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com