Vyama vyasaini makubaliano ya serikali Ujerumani | Media Center | DW | 12.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Vyama vyasaini makubaliano ya serikali Ujerumani

Karibu miezi sita baada ya kufanyika uchaguzi mkuu nchini Ujerumani, viongozi wa vyama vya muungano wa kihafidhina vya CDU na CSU pamoja na chama cha Kisoshalisti cha SPD wametia saini mkataba wa serikali ya muungano wenye kurasa 177.

Tazama vidio 01:44