1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Virusi vya Corona vyaambukiza wengi zaidi China

31 Januari 2020

Marekani na Japan wamewahamisha raia wao kutoka eneo yalikoanzia maradhi ya kuambukiza yanayosababishwa na virusi vya Corona, wakati ambapo idadi ya waliopoteza maisha yao baada ya kuambukizwa virusi hivyo imeongezeka mno na kufikia watu 132.

https://p.dw.com/p/3WzAJ