Vipi Rwanda ilivyopokea hukumu ya Theoneste Bagosora | Matukio ya Kisiasa | DW | 18.12.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Vipi Rwanda ilivyopokea hukumu ya Theoneste Bagosora

Jumuiya ya watu walionusurika mauaji ya kuangamiza jamii nchini Rwanda ijulikanayo kama IBUKA, imefurahia hukumu iliyotolewa na mahakama ya kimataifa kwa ajili ya Rwanda.

Rwanda imefurahia hukumu ya Theoneste Bagosora

Rwanda imefurahia hukumu ya Theoneste Bagosora

Wasema hukumu hiyo ni onyo kwa wengine ambao wangethubutu kutumia madaraka yao kukanyaga haki za watu wengine. Hata hivyo katibu mkuu wa jumuiya hiyo Benoit( soma Benua) Kaboyi, anasema hawakuridhika na hukumu kwa mtuhumiwa mwingine Kabiligi Gratian, ambaye mahakama hiyo haikumkuta na hatia.

Zaidi anayo Daniel Gakuba kutoka Kigali.




Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com