Viongozi wa Chama cha CCM cha Tanzania ziarani Ujerumani | Matukio ya Kisiasa | DW | 26.09.2008
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Viongozi wa Chama cha CCM cha Tanzania ziarani Ujerumani

Makada wakuu wa CCM ya Tanzania ziarani Ujerumani

Wafuasi wa Chama cha Mapinduzi, CCM, wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi

Wafuasi wa Chama cha Mapinduzi, CCM, wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi

Ujumbe wa watu wawili kutoka Chama tawala cha Tanzania, CCM, ukiwa na katibu mwenezi wa chama hicho, John Zephania Chiligati, ambaye pia ni waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makaazi, na Bibi Faida Mohammed Bakar, mbunge na naibu katibu mkuu wa Jumuiya ya Vijana katika CCM, umekuweko hapa Ujerumani kwa siku sita sasa kwa mwaliko wa Wakfu wa Friedrich Ebert ambao ni wa Chama cha Social Democratic, SPD. Ujumbe huo ulipata nafasi ya kuitembelea Idara hii ya matangazo ya lugha ya Kiswahili ya Deutsche Welle, Othman Miraji alizungumza na Mbunge Faida Bakar, na alimuelezea hivi kile alichojifunza katika ziara yake...
Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 26.09.2008
 • Mwandishi Othman, Miraji
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/FPY9
 • Tarehe 26.09.2008
 • Mwandishi Othman, Miraji
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/FPY9
Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com