Ushirikiano baina ya wanaharakati wa mazingira wa Ujerumani na Tanzania | Masuala ya Jamii | DW | 12.09.2008
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Ushirikiano baina ya wanaharakati wa mazingira wa Ujerumani na Tanzania

Ushirikiano baina ya wanaharakati wa mazingira wa Ujerumani na Tanzania

default

Kinu cha umeme hapa Ujerumani kinachotokana na nishati ya makaa ya mawe

Leo karibu na mitambo ya umeme inayopangwa kujengwa na ambayo itatokana na nishati ya makaa katika eneo la Staudinger na Jänschwalde hapa Ujerumani, kutafanywa maandamano kupinga kujengwa mitambo hiyo. Kama wazungumzaji katika maandamano hayo watakuweko wanaharakati wa kulinda mazingira kutoka Tanzania, Bolivia, India, Kirgizistan na Visiwa vya Fiji. Wao wamealikwa na wanaharakati wa mazingira wenziwao wa hapa Ujerumani. Kwani uchafuzi wa mazingira katika nchi tajiri za viwanda unaleta athari kwa nchi maskini zinazoendelea, hivyo kumeonelewa umuhimu wa kuowanisha harakati za kulinda mazingira duniani kote.


Kutoka Tanzania atashiriki katika maandamano ya leo Grace Mketto wa kutoka Dodoma.Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 12.09.2008
 • Mwandishi Othman, Miraji
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/FHD5
 • Tarehe 12.09.2008
 • Mwandishi Othman, Miraji
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/FHD5
Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com