SiasaUmoja wa Mataifa waiwekea vikwazo vipya Korea KaskaziniTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaLilian Mtono12.09.201712 Septemba 2017Umoja wa Mataifa wapitisha azimio la vikwazo vipya dhidi ya Korea Kaskazini, Angela Merkel asema hatabadilisha msimamo wake dhidi ya ukomo wa idadi ya wakimbizi na Ligi ya mabingwa Ulaya kuanza kutimua vumbi. Papo kwa Papo:12.09.2017https://p.dw.com/p/2jp4HMatangazo