Uganda kuwatoza kodi watumiaji wa mitandao ya kijamii | Masuala ya Jamii | DW | 11.04.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Uganda kuwatoza kodi watumiaji wa mitandao ya kijamii

Rais wa Uganda apendekeza wanaotumia mitandao ya kijamii nchini humo watozwe kodi. Madaktari Marekani waanza kutumia Apps za simu kufuatiliwa wagonjwa wao. Na marehemu Winnie Mandela akumbukwa mitandaoni. Yote hayo ni katika Sema Uvume.

Sikiliza sauti 09:45