1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

App

App ni programu ndogo ya computer. Sifa zake ni ndogo, hutumika kwenye simu aina ya Smartphone, Tablet na computer za mezani au PC. App maarufu ni zinajumlisha programu za picha, maandishi na michezo.

Neno hilo ni kifupi cha neno la Kiingereza "Application". Tangu kuanzishwa kwa duka la App la iOS mwaka 2008, neno hilo limekuwa likitumiwa kwa kubadilisha na neno "Mobile App" - ikimaanisha application hiyo inafanya kazi makhsusi kwenye simu za mkononi tu.

Onesha makala zaidi