1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Winnie Mandela

Winnie Madikizela-Mandela, OLS, anaejulikana pia kama Winnie Mandela alikuwa mwanaharakati wa kupinga ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini na mke wa zamani wa rais wa kwanza mweusi wa taifa hilo hayati Nelson Mandela.

Winnie alikuwa mbunge wa bunge la Afrika Kusini tangu 1994 hadi kifo chake, na alikuwa naibu waziri kati ya 1994 na 1996. Alikuwa mwanachama wa chama cha Afican National Congress (ANC), alihudumu kwenye kamati kuu ya chama hicho na alikuwa mwenyekiti wa tawi la wanawake la chama. Madikizela-Mandela alikuwa anajulikana kwa wafuasi wake kama "Mama wa taifa." Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za karibuni za DW kuhusu Winnie Madikizela-Mandela.