Uchaguzi wa Wabunge umeanza leo nchini Rwanda | Matukio ya Kisiasa | DW | 16.09.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Uchaguzi wa Wabunge umeanza leo nchini Rwanda

Nchini Rwanda uchaguzi wa Wabunge umeanza rasmi hii leo.Hii ni mara ya pili kwa nchi hiyo kufanya uchaguzi tangu mauaji ya halaiki kufanyika mwaka 1994.

Wananchi wa Rwanda wapiga kura

Wananchi wa Rwanda wapiga kura

Vituo vya kura vinaripotiwa kufunguliwa mapema asubuhi na wapiga kura milioni 4.7 wamesajiliwa ili kushiriki katika shughuli hiyo.Chama tawala cha Rwandana Patriotic Front,RPF kinachuana na vyama vya Social Democratik na kile cha Kiliberali.Uchaguzi huo unatarajiwa kukamilika siku ya Alhamisi.

Mwandishi wetu John Kanyunyu yuko mjini Kigali na ameandaa taarifa ifuatayo.Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com