Uchaguzi wa wabunge nchini Rwanda waingia siku ya tatu | Matukio ya Kisiasa | DW | 17.09.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Uchaguzi wa wabunge nchini Rwanda waingia siku ya tatu

Nchini Rwanda uchaguzi mkuu wa bunge leo umingia katika siku yake ya tatu ambapo ni zamu ya vijana kuchagua wawakilishi wao.

Rais Kagame wa Rwanda

Rais Kagame wa Rwanda

Hapo jana mweyekiti wa tume ya uchaguzi nchini humo Profesa Kizologi Kalangwa alitangaza matokeo ya awali yalioonesha kuwa chama tawala cha RPF kimepata viti vingi.


Mwandishi wetu wa GOMA John Kanyunyu kwa sasa yuko mjini Kigali kwa ajili ya uchaguzi huo na kutoka huko ametutumia taarifa ifuatayo.Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com