Tume ya ukweli na maridhiano nchini kenya yaanza vikao katika mkoa wa Pwani | Matukio ya Kisiasa | DW | 25.01.2010
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Tume ya ukweli na maridhiano nchini kenya yaanza vikao katika mkoa wa Pwani

Nchini Kenya tume ya ukweli na maridhiano iliyoteuliwa kuchunguza ghasia za baada ya uchaguzi inaanza vikao vyake hii leo katika mkoa wa Pwani.

Ghasia zilizotokea nchini Kenya baada ya uchaguzi wa mwaka 2007

Ghasia zilizotokea nchini Kenya baada ya uchaguzi wa mwaka 2007

Tume hii inatarajiwa kusafiri pembe zote za jamhuri ya Kenya katika kukusanya maoni na kupendekeza njia muafak za kuleta maridhiano na kuepusha hali kama hiyo siku zijazo.

Lakini kama anavyotueleza mwandishi wetu Eric Ponda kutoka mjini Mombasa,si wakenya wengi walio na imani na tume hii.

Mwandishi:Eric Ponda

Imepitiwa na: Hamidou Oummilkheir

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com