1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Trump kumualika Putin Marekani

Yusra Buwayhid
20 Julai 2018

Rais wa Marekani Donald Trump anapanga kumualika rais wa Urusi Vladimir Putin mjini Washington baadaye mwaka huu. Mualiko huo unakuja baada ya viongozi hao kukutana mjini Helsinki, Finland siku chache zilizopita, jambo lilowakasirisha Wamarekani wengi. Unauonaje mualiko wa Trump kwsa Putin? Unahisi ni wa busara au utazua balaa? Papo kwa Papo 20.07.2018

https://p.dw.com/p/31qEh