Tanzania: Mzozo wa Serikali ya Muungano na Zanzibar kuhusu mgao wa Bajeti | Matukio ya Kisiasa | DW | 23.07.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Tanzania: Mzozo wa Serikali ya Muungano na Zanzibar kuhusu mgao wa Bajeti

Visiwani Zanzibar Wizara ya Fedha na Uchumi imesema maelezo yaliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Muhammed Seif Khatib na Naibu Waziri wa Fedha ni ya upotoshaji yasiyo na ukweli wowote.

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na Wizara hiyo jana, ilisema Serikali ya Muungano haijawahi kutoa mgao wa misaada ya kibajeti inayopelekewa kwa njia ya mikopo kwa SMZ na badala yake mikopo hiyo imekuwa ikitolewa na Benki ya Dunia, Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) na washirika wengine wa maendeleo.

Mwandishi wetu Salma Said ana ripoti kamili.


Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com