Tanzania kuzuia soseji kutoka Afrika Kusini. | Masuala ya Jamii | DW | 07.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Tanzania kuzuia soseji kutoka Afrika Kusini.

Mamlaka ya chakula na dawa nchini Tanzania -TFDA imesema itajiunga na mataifa mengine Kusini mwa Afrika kuzuia uingizwaji wa nyama ya kusindika kutoka nchini Afrika Kusini, zilizobainika kuwa na bakteria aina ya Listeria. Takriban 180 nchini Afrika Kusini tangu 2017. Meneja Uhusiano wa TFDA, Gaudensia Simwanza amezungumza.

Sikiliza sauti 03:19
Sasa moja kwa moja
dakika (0)