Taarifa ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuhusu mazungumzo ya muafaka kati ya CUF na CCM | Matukio ya Kisiasa | DW | 15.08.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Taarifa ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuhusu mazungumzo ya muafaka kati ya CUF na CCM

Ikiwa imebakia siku moja tu kufikia siku ya mwisho ya kumaliza mazungumzo ya kutafuta usuluhishi wa matatizo ya kisiasa Zanzibar, Rais Jakaya Mrisho Kikwete amekisihi chama cha upinzani cha wananchi CUF kisijiondoe kwenye mazungumzo hayp ili hatimaye wafikie ufumbuzi wa mpasuko wa kisiasa unaoendelea kuweka upogo katika siasa za Zanzibar.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania

Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania

Mwandishi wetu Hawra Shamte anaripoti zaidi kutoka Dar es salaam.
Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com