1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 23.01.2021

23 Januari 2021

Shirika la afya duniani lasema halina mipango wa kubadilisha muongozo wake wa kupendekeza uvaaji wa barakoa za vitambaa, Rais wa Marekani Joe Biden aonya kuwa idadi ya vifo vinavyotokana na virusi vya corona nchini marekani inatarajiwa kupita watu laki 6 na Ubelgiji kupiga marufuku safari zote za burudani nje ya nchi kwa raia wake kuanzia wiki ijayo

https://p.dw.com/p/3oJhr