Taarifa ya habari ya asubuhi . 21.09.2019 | Media Center | DW | 21.09.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Taarifa ya habari ya asubuhi . 21.09.2019

Waziri wa ulinzi wa Marekani Mark Esper asema Marekani kupeleka vikosi zaidi vya kijeshi katika Mashariki ya Kati, Malta yawapokea wahamiaji 35 waliokolewa katika bahari ya Mediterenia na meli ya uokozi na mamia ya waandamanaji wakusanyika katika eneo la Kati mwa Cairo na miji mingine nchini Misri.

Sikiliza sauti 08:00