Watu wapatao 139 wamekufa baada ya tetemeko la ardhi kutokea nchini Mexico jana // Rais wa Marekani, Donald Trump amehutubia katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kuionya Korea Kaskazini // Kiongozi wa Myanmar, Aung San Suu Kyi ameendelea kukosolewa katika kile ambacho baadhi ya viongozi wa dunia wanakiita ''safisha safisha ya kikabila''.