Siku ya wakimbizi duniani
20 Juni 2007Matangazo
Vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo vimesababisha idadi kubwa ya wakimbizi.
Akihitimisha ziara yake ya Kongo, naibu kamishna wa shirika la wakimbizi la Umoja wa Mataifa, UNHCR, Bibi Judy Hopkins, amesema Umoja wa Mataifa unapaswa kuhamasishwa zaidi kuhusu hali ya wakimbizi na wahamiaji vita nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo. Kongo imepata serikali mpya mwaka jana na rais Joseph Kabila kunyakua ushindi.