Siku ya mwisho ya Uchaguzi wa Wabunge nchini Rwanda | Matukio ya Kisiasa | DW | 19.09.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Siku ya mwisho ya Uchaguzi wa Wabunge nchini Rwanda

Nchini Rwanda uchaguzi wa wabunge umakamilika.Katika hatua ya kihistoria Rwanda limekuwa taifa la kwanza ulimwenguni kuwa na idadi kubwa zaidi ya wanawake bungeni kwa mujibu wa matokeo ya muda.

Raia wa Rwanda apiga kura yake

Raia wa Rwanda apiga kura yake

Wanawake wamejinyakulia viti 44 jambo linalowawezesha kuwa na uwakilishi mkubwa bungeni.Kwa kujibu wa takwimu za Chama cha ushirikiano wa mabunge IPU idadi hiyo imeipiku nchi ya Sweden iliyo na asilimia 47 ya wanawake bungeni na Cuba iliyo na asilimia 43 ya wabunge wanawake.Chama tawala cha Rwandan Patriotic Front, RPF kinaripotiwa kuwa mstari wa mbele katika uchaguzi huo wa wabunge.Huu ni uchaguzi wa pili kufanyika tangu mauaji ya halaiki kutokea mwaka 1994.

Kutoka Kigali John Kanyunyu ana maelezo zaidi.Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com