Seif Sharif ana matumaini ya ushindi Zanzibar
31 Oktoba 2010Matangazo
Uchaguzi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ule wa Visiwani Zanzibar kwa ajili ya urais, bunge, wawakilishi na madiwani unafanyika leo. Kabla ya kuanza zoezi hilo, Othman Miraji alifanya mahojiano na mgombea wa Chama kikuu cha upinzani, CUF, kwa ajili ya urais huko Zanzibar, na pia katibu mkuu wa Chama hicho, Seif Shariff Hamad, ambaye alikuwa na haya ya kusema: