1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ruto azungumza na DW

29 Machi 2023

Rais wa Kenya William Ruto ameulaani upinzani nchini mwake kwa maandamano na kutaka mambo ambayo ni kinyume cha katiba. Amewahakikishia Wakenya kwamba changamoto za kiuchumi zilizopo sasa zitatatuliwa. Ruto ameyasema haya katika mahojiano ya DW.

https://p.dw.com/p/4PRxX