Rushwa ndani ya chama cha CCM nchini Tanzania | Matukio ya Kisiasa | DW | 22.10.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Rushwa ndani ya chama cha CCM nchini Tanzania

Katibu mkuu mstaafu wa chama kinachotawala nchini Tanzania cha CCM Bwana Philip Mangula amezungumza kuhusu tatizo la rushwa ndani ya chama cha mapinduzi.

Bwana Mangula ameyasema hayo wakati alipokuwa anazindua mdahalo wa kitaifa wa wadau wa habari nchini Tanzania.

Mwandishi wetu Hawra Shamte aliyehudhuria uzinduzi huo ametutumia ripoti ifuatayo.

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com