Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ziarani Kinshasa | Matukio ya Kisiasa | DW | 31.07.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ziarani Kinshasa

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Donald Kaberuka yuko mjini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemorkasi ya Kongo kwa ziara ya siku tatu.

Nembo ya Benki ya Maendeleo ya Afrika

Nembo ya Benki ya Maendeleo ya Afrika

Ziara yake ni ya uzinduzi wa ofisi ya kanda ya benki hiyo na vile vile kutathmini msaada wa benki ya ADB kwa nchi hiyio kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo.

Mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo anaripoti kamili kutoka Kinshasa.

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com