Papa Francis yupo ziarani mjini Cairo | Media Center | DW | 28.04.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Papa Francis yupo ziarani mjini Cairo

Rais wa Marekani Donald Trump ameonya uwezekano wa kutokea mgogoro mkubwa baina ya Marekani na Korea Kaskazin. Waandamanaji wamevamia bunge la Macedonia na kuanza kuwashambulia wabunge. Na Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amewasili mjini Cairo, Misri kwa ziara ya siku mbili. Papo kwa Papo 28.04.2017

Tazama vidio 01:50
Sasa moja kwa moja
dakika (0)