1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Macedonia ya Kaskazini

Jamhuri ya Macedonia ya Kaskazini ni taifa la kanda ya Balkan lililoko kusini-mashariki mwa Ulaya. Ilijitangazia uhuru wake mnamo mwaka 1991, na mji wake mkuu na mkubwa zaidi ni Skopje.

Macedonia ya Kaskazini ni mojawapo na mataifa yaliotokana na iliyokuwa Yugoslavia. Ikiwa haina njia ya bahari, Macedonia ya Kaskazini inapakana na Albania, Kosovo, Bulgaria na Ugiriki.Wengi wa wakaazi wake wapatao milioni 2 ni wa asili ya Macedonia, lakini pia kuna idadi kubwa ya jamii ya wachache wa asili ya Albania. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu Macedonia ya Kaskazini.

Onesha makala zaidi