OSNABRÜCK:akamatwa kwa kueneza propaganda ya al-Kaida | Habari za Ulimwengu | DW | 11.10.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

OSNABRÜCK:akamatwa kwa kueneza propaganda ya al-Kaida

Mtu anaetuhumiwa kuwaunga mkono magaidi wa mtandao wa al- Kaida amekamatwa katika mji wa Osnabrück nchini Ujerumani.

Baada ya uchunguzi wa miezi kadhaa mtu huyo ambaye ni mwirak alitiwa mbaroni na idara za usalama kutokana na tuhuma za kueneza propaganda ya mtandao wa alkaida .

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com