1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Operesheni ya Kilombero Tanzania yaathiri makaazi ya 5000

Sudi Mnnete20 Juni 2016

Operesheni kubwa ya kunusuru bonde la Kilombero nchini Tanzania imewacha zaidi ya watu 5000 bila ya makazi. Sikiliza mahojiano ya DW yanayouliza kwanini Benki ya Dunia imesaini kutoa dola milioni 70 kwa Tanzania kutekeleza mradi huo?

https://p.dw.com/p/1J9tl