Nigeria yamjeruhi Shekau Papo kwa Papo 23.08.2016 | Anza | DW | 24.08.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Nigeria yamjeruhi Shekau Papo kwa Papo 23.08.2016

Jeshi la Nigeria lasema limemjeruhi vibaya kiongozi wa Boko Haram, Abubakar Shekau, Uturuki yashambulia waasi wa IS Syria, raia wa Mali mwenye itikadi kali ya Kiislamu akiri kuharibu majengo ya kale Timbuktu, Mali, na msajili wa vyama vya siasa Tanzania ataka CCM na CHADEMA wafanye mazungumzo.

Tazama vidio 01:59
Sasa moja kwa moja
dakika (0)