NEW YORK: Jan Egeland atazamiwa kukutana na Joseph Kony wa LRA | Habari za Ulimwengu | DW | 12.11.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

NEW YORK: Jan Egeland atazamiwa kukutana na Joseph Kony wa LRA

Mkuu wa wa Umoja wa Mataifa anaeshughulikia miradi ya kiutu,Jan Egeland anatazamiwa kukutana na viongozi wa ngazi ya juu wa kundi la waasi la Uganda,LRA.Vile vile huenda akakutana na Joseph Kony anaetafutwa sana na jumuiya ya kimataifa.Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa,mkutano huo huenda ukafanywa leo hii sehemu za ndani,kusini mwa Sudan,karibu na mpaka wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo,ambako Kony na makamanda wengine wa LRA wanajificha.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com