1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Lord's Resistance Army (LRA)

Lord’s Resistance Army (LRA) ni kundi la uasi na kidini ambalo limeendesha operesheni zake kaskazini mwa Uganda, Sudan Kusini, Jamhuri ya Afrika ya Kati na DRC. Linaognozwa na Joseph Kony.

Malengo ya kundi hilo ambalo awali lilikuwa likijulikana kama “United Holy Salvation Army” na “Uganda Christian Army/Movement”, ni pamoja na kuanzisha demokrasia ya vyama vingi, kutawala kwa mujibu wa amri kumi, na uzalendo wa kabila la Acholi, inagawa kivitendo kundi la LRA halihamasishwi na agenda yoyote inayotambulika ya kisiasa, na mkakati wake wa kijeshi na mbinu vinaakisi hili.

Onesha makala zaidi