Nahles mwenyekiti mpya SPD | Media Center | DW | 23.04.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Nahles mwenyekiti mpya SPD

Chama cha Social Democratic nchini Ujerumani (SPD) kwa mara ya kwanza ndani ya historia yake ya miaka 155 kimemchaguwa mwanamke kuwa mwenyekiti wake. Andrea Nahles alichaguliwa hapo jana kwa asilimia 66.35 ya kura za wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho.

Tazama vidio 01:10
Sasa moja kwa moja
dakika (0)