Mzozo wa kidiplomasia kati Uturuki na Uhoalanzi wazidi kutokota | Media Center | DW | 14.03.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mzozo wa kidiplomasia kati Uturuki na Uhoalanzi wazidi kutokota

Mahusiano ya Uturuki na Uholanzi yanaendelea kutokota, Waziri Mkuu wa Uingereza apewa ridhaa ya kuiondoa nchi yake katika Umoja wa Ulaya na maharamia wa Kisomali waiteka meli yenye bendera ya Sri Lanka.

Tazama vidio 01:53