Mkutano wa kiuchumi wa Afrika,Carribean na Pacific mjini Bonn | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 14.03.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Timu Yetu

Mkutano wa kiuchumi wa Afrika,Carribean na Pacific mjini Bonn

Mawaziri wa misaada ya maendeleo wa Umoja wa Ulaya leo wanaendelea na majadiliano na wenzao kutoka mataifa ya Afrika,Carribean na Pacific kuhusu ushirikiano wa kiuchumi .

Mkutano huo umefanyika huko Petersberg karibu na jiji la Bonn.
Saumu Mwasimba aliungana kwa njia ya simu na kumuuliza Othman Miraji kilichojadiliwa katika mkutano huko.
Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com