Misikiti tisa mashuhuri Afrika | Mada zote | DW | 02.10.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Misikiti tisa mashuhuri Afrika

Bara la Afrika linajivunia kuwa na misikiti ya kuvutia. Picha zifuatazo zinaonyesha misikiti inayoakisi karibu kila kipindi cha usanifu wa ujenzi katika historia. Kutoka 670 Baada ya Kristo hadi 2019.