1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Salafi

Salafi ni vuguvugu la kihafidhina la mageuzi ndani ya Uislamu wa madhehebu ya Sunni. Neno hilo linatokana na neno la Kiarabu "Salaf", ambalo linamaanisha waliotangulia - kumaanisha kizazi cha Mtume na vilivyofuatia.

Wasalafi wanamuiga Mtume Muhammad (S.A.W) na wafuasi wake wa mwanzo kabisaa, wanapinga uzushi katika dini na wanaunga mkono utekelezaji wa shariah. Usalafi umeenea pakubwa katika nchi ya Saudi Arabia lakini pia unasambaa katika mataifa mengine yakiwemo ya Magharibi. Ukurusa huu ni mkusanyiko wa moja kwa moja wa maudhui za DW kuhusu Usalafi.

Onesha makala zaidi