Miaka mitano tangu Angela Merkel kuwaruhusu wahamiaji kuingia Ujerumani, hali iko vipi?
Miaka mitano baada ya wakimbizi kuwasili nchini Ujerumani bado Wajerumani wamegawanyika kuhusu suala hili hadi sasa ni asilimia 11 tu ya Wajerumani wanaounga mkono wazo la kuwapokea wakimbizi zaidi.
Tazama vidio01:23
Shirikisha wengine
Miaka mitano tangu Angela Merkel kuwaruhusu wahamiaji kuingia Ujerumani, hali iko vipi?