Mgomo wa magari ya abiria ya Matatu nchini Kenya | Masuala ya Jamii | DW | 08.04.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Mgomo wa magari ya abiria ya Matatu nchini Kenya

Nchini Kenya mgomo wa magari madogo ya abiria maarufu matatu umeingia siku yake ya pili katika mji wa Nairobi.

Jiji la Nairobi lakabiliwa na mgomo wa usafiri wa Matatu

Jiji la Nairobi lakabiliwa na mgomo wa usafiri wa Matatu

Kulingana na wahudumu wa matatu malalamiko yao yanajumuisha kuhangaishwa na maafisa wa polisi wakati wanapoendesha shughuli zao pamoja na ada wanazolazimika kuwalipa wafuasi wa Mungiki wanaosimamia baadhi ya vituo.Kutokana na mgomo huo mamia ya wakazi wa jiji la Nairobi walilazimika kutembea mwendo mrefu ndipo waweze kufika katika sehemu zao za kazi.

Mwandishi wetu wa Nairobi Eric Ponda ametuandalia taarifa ifuatayo.

Mwandishi: Eric Ponda
Mhariri: Mohamed Abdulrahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com