Mbilikimo katika mkoa wa Ituri-Kaskazini mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo | Matukio ya Kisiasa | DW | 02.02.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mbilikimo katika mkoa wa Ituri-Kaskazini mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

Mbilikimo katika mkoa wa Ituri-Kaskazini mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wanalalamika kuwa mashirika yanayowatetea yamekuwa yakijipatia fedha nyingi kwa jina lao, wakati wao wenyewe mbilikimo wanapokea makombo tu. Mbilikimbo hao wanasema hayo wakati walipokutana na tume ya Umoja wa mataifa katika mji wa Mombasa Tiksty.

Maelezo zaidi anatuletea Mwandishi wetu John Kanyunyu kutoka Bunia,Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com