Mazingira Afrika – Kipindi 9 – Uvuvi wenye madhara | Uchumi na mazingira | DW | 16.03.2011
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Uchumi na mazingira

Mazingira Afrika – Kipindi 9 – Uvuvi wenye madhara

Kipindi hiki kinazungumzia uvuvi wa kutumia baruti unavyoathiri matumbawe ambayo yanahitaji karne kujengeka, lakini yanaweza kuharibiwa kwa sekunde moja tu. Nini kinachowakumba wanyama na mimea ya baharini?

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com