Mazingira Afrika – Kipindi 1 - Takataka | Uchumi na mazingira | DW | 16.03.2011
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Uchumi na mazingira

Mazingira Afrika – Kipindi 1 - Takataka

Suala la takataka limekuwa ni tatizo sugu. Na kwa serikali za Afrika kulishughulikia suala hilo ni jukumu kubwa. Tutaelezea hatari ya mifuko ya plastiki kwa viumbe wa baharini, jinsi inavyoharibu mazingira ya majini.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com