1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 30.09.2018

Yusra Buwayhid
30 Septemba 2018

Idadi ya watu waliouawa kutokana na tetemeko la ardhi Indonesia yafika 832. Wakurdi nchini Iraq wapiga kura ya kuchagua bunge jipya katika eneo linalojitegemea la Kurdistan. Na, Korea Kaskazini yataka makubaliano na Marekani kabla ya kuondoa silaha za nyuklia katika rasi ya Korea.

https://p.dw.com/p/35jC5