1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Wakurdi

Wakurdi ni kundi la kikabila linalokutikana katika maeneo ya nchini Uturuki, Iran, Iraq na Syria.

Kwa mujibu wa makadirio mbalimbali, kuna Wakurdi takribani milioni 30 duniani kote, wengi wao wakiwa nchini Uturuki. Uhamiaji wa karibuni uliwapeleka zaidi ya milioni moja katika mataifa ya Magharibi. Karibu 700,000 kati yao wanaishi nchini Ujerumani.

Onesha makala zaidi