You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Vita vya Marekani-Israel na Iran
Mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola
Kombe la Dunia la FIFA 2026
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wakurdi
Wakurdi ni kundi la kikabila linalokutikana katika maeneo ya nchini Uturuki, Iran, Iraq na Syria.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mke wa rais wa Iraq akataa Wakurdi kuingizwa vitani Iran
Mke wa rais wa Iraq amejitokeza hadharani kupinga uwezekano wowote wa wapiganaji wa Kikurdi kuishambulia Iran.
Rubio: Marekani imeridhishwa na mwelekeo wa Syria
Rubio ataka makubaliano kati ya mamlaka ya Syria na Wakurdi yatekelezwe.
Putin amsifu Al Sharaa kwa kurejesha uthabiti Syria
Rais wa Urusi Vladimir Putin amempongeza Rais wa Syria Ahmed al-Sharaa kwa kurejesha uthabiti nchini mwake.
Msaada wa kiutu waanza kusambazwa mji wa Kobane, Syria
Umoja wa Mataifa umesema msaada wa kiutu umeanza kusambazwa kwenye mji wa Kobane nchini Syria.
UN: Misaada muhimu yafanikiwa kuingia mji wa Kobane-Syria
Msaada huo uliwasili huku mamlaka za Syria na vikosi vya Kikurdi zikipanua makubaliano ya kusitisha mapigano.
Wasyria waliokimbia mapigano Aleppo waanza kurejea
Maelfu ya Wasyria walioukimbia mji wa Aleppo baada ya kuzuka mapigano wameanza kurejea kwenye mji huo.
Misaada yapelekwa kwenye Wakurdi wengi Syria
Misaada ya kiutu imepelekwa katika mji wenye idadi kubwa ya Wakurdi wa Kobane Kaskazini mwa Syria.
Makubaliano ya kisitisha vita Syria yarefushwa kwa siku 15
Makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya serikali ya mpito ya Syria na wanamgambo wa Kikurdi yamerefushwa kwa siku 15.
Chama cha Kurdistan Freedom cha Iran chashambuliwa Iraq
Chama cha upinzani cha kikurdi cha Iran ni moja kati ya vyama vya upinzani vya Wakurdi vilivyoweka makaazi nchini Iraq
Maandamano ya Wakurdi yawavutia maelfu Ujerumani
Maelfu ya watu waliandamana kwenye miji kadhaa ya Ujerumani kufuatia mapigano kati ya Wakurdi na wanajeshi Syria.
Jeshi la Syria laongeza udhibiti maeneo ya Wakurdi
Vikosi vinavyoongozwa na wapiganaji wa Kikurdi vimejiondoa kwenye mtambo mkubwa zaidi wa kuchimba mafuta wa Al Omar.
Vikosi vya Syria vyaingia mji wa Deir Hafer karibu na Aleppo
Vikosi vya serikali ya Syria vimedai kuchukua udhibiti wa mji wa Deir Hafer, nje kidogo ya mji wa Aleppo mapema leo.
Serikali ya Syria yalidhibiti eneo la Wakurdi mjini Aleppo
Mapigano yalichochewa na kusuasua kwa mazungumzo ya kuunganisha taasisi zilizopo chini ya SDF nchini Syria.
Jeshi la Syria lasema sasa linaidhibiti wilaya ya Aleppo
Tangu mapigano yaanze siku ya Jumanne, takribani watu 21 wameuawa, kulingana na takwimu kutoka pande zote mbili.
Lebanon yakamilisha awamu ya kuipokonya silaha Hezbollah
Jeshi la Lebanon limesema limekamilisha awamu ya kwanza ya mpango wake wa kupokonya silaha kundi la Hezbollah.
PKK yatangaza kuwaondoa wapiganaji wake kutoka Uturuki
Taarifa hiyo imetolewa kaskazini mwa Iraq miezi michache baada ya wapiganaji wa kundi hilo kuanza kuweka silaha chini.
Wanachama wa IRGC Iran wauawa katika shambulio la bomu
Wanachama wengine watatu wa IRGC walijeruhiwa katika shambulio hilo.
Uturuki na Syria wasaini mkataba wa ushirikiano na ulinzi
Uturuki na Syria zimetia saini mkataba wa ushirikiano kuhusu ulinzi huku Ankara.
Erdogan: PKK kusalimisha silaha ni ukurasa mpya kwa Uturuki
Erdogan asema ukurasa mpya umefunguliwa kwa Uturuki
Wapiganaji wa PKK waanza kuweka chini silaha
Hatua hiyo inatajwa kuwa muhimu katika mchakato mpana wa amani kati ya PKK na taifa la Uturuki.
PKK yatangaza kuweka chini silaha
-
Chama cha PKK chavunjwa na kumaliza uasi dhidi ya Uturuki
Serikali ya Uturuki: hatua muhimu zitachukuliwa ili kuhakikisha kuwa mchakato huo unaendelea vyema.
Erdogan ataka chama cha PKK kuvunjwa mara moja
PKK imetoa masharti ya kutaka kwanza kiongozi wake kuachiwa huru kabla ya kutii amri.
Syria yatangaza kuunda Baraza la Usalama wa Kitaifa
Mamlaka mpya ya Syria imetangaza kuunda Baraza la Usalama wa Kitafa likiwa na ljukumu la kusimamia usalama na siasa.
Marekani yasifu makubaliano kati ya Syria na Wakurdi
Siku ya Jumatatu, ofisi ya rais wa Syria ilitangaza makubaliano na mkuu wa SDF ya kuunganisha taasisi zake serikalini.
Sharaa asaini makubaliano na kikosi cha Wakurdi
Syria chini ya rais wa mpito Ahmed al-Sharaa imeyavunja makundi yenye silaha na kuwezesha udhibiti wa serikali.
Kundi la PKK latangaza usitishwaji mapigano nchini Uturuki
Mzozo kati ya Uturuki na PKK ulianza mwaka 1984 na umesababisha vifo vya maelfu ya watu.
Wito wa kiongozi wa PKK wapokelewa tofauti
Chama cha wanamgambo wa Kikurdi la Kurdish Workers' Party, (PKK,) kilipigwa marufuku nchini Uturuki kwa madai ya ugaidi.
Wito wa Ocalan wa kukivunja chama chake cha PKK wapongezwa
Pande mbalimbali zimepongeza na kuisifu hatua hiyo ambayo wameiita kuwa ni muhimu kwa usalama wa kikanda
Ocalan aitaka PKK kuweka chini silaha
Kiongozi wa Wakurdi, Abdallah Ocalan, ametaka chama chake cha Kurdistan Workers (PKK) kuweka silaha chini.
Erdogan amsifu rais mpya wa Syria kwa kupambana na ugaidi
Sharaa alisafiri kuelekea Ankara kutoka Saudi Arabia ambako alitaka uungwaji mkono wa Saudia katika kuijenga upya Syria.
Uturuki yaomba ushirikiano kupambana na wapiganaji wa PKK
Waziri wa mambo ya Kigeni wa Uturuki Hakan Fidan ameomba ushirikiano wa kikanda katika kukabiliana na wanamgambo wa PKK.
Uturuki yasema haina nia ya kuchukua eneo lolote la Syria
Uturuki imesema haina nia ya kulichukua eneo lolote la Syria kufuatia kuondolewa madarakani Bashar al-Assad.
Kamanda wa Kikurdi atangaza usitishaji vita Syria
Kamanda wa kikosi cha wapiganaji wa Kikurdi Syria atangaza makubaliano ya usitishaji vita Kaskazini mashariki mwa Syria
Wanamgambo wa Iraq watua Syria kutoa msaada wa kijeshi
Kamanda mkuu wa jeshi la Syria la SDF amesema bado hali kaskazini magharibi mwa Syria imeendelea kuwa mbaya zaidi.
Watano wauawa katika shambulizi la "kigaidi" nchini Uturuki
Vikosi vya anga vya Uturuki vimeharibu vituo 32 vya PKK wanaodhaniwa kushambulia kiwanda hicho cha vifaa vya ndege.
Watu wanane wauawa katika mlipuko wa bomu Syria
Shirika la Haki za Binaadamu la Syria limesema watu zaidi ya 20 walijeruhiwa baada ya bomu kulipuka ndani ya gari.
Iraq yawarejesha makwao wakimbizi 625 kutoka kambi ya Syria
Iraq yawarejesha makwao wakimbizi 625 kutoka kambi ya Syria
Mashambulizi ya Uturuki yauwa wawili kaskazini mwa Iraq
Raia wawili wauwawa Irak katika mashambulizi ya angani ya Uturuki
Iran yawanyonga watuhumiwa wanne waliohusishwa na Mossad
Watuhumiwa hao walidaiwa kuingia kwa njia zisizo halali katika ardhi ya Iran kutoka jimbo la Kurdistan nchini Iraq.
Uturuki yashambulia maeneo ya magaidi Iraq na Syria
Mashambulizi hayo yamefanyika baada ya vifo vya wanajeshi tisa wa nchi hiyo waliouwawa Iraq
Uturuki yashambulia ngome za Wakurdi nchini Syria na Iraq
Uturuki imetanua kampeni yake ya kijeshi dhidi ya makundi ya Wakurdi huko Syria na Kaskazini mwa Iraq.
Wanajeshi 2 wa Iraq na wapiganaji 2 wa Peshmerga wauliuwa
Wanajeshi sita na wapigananji sita wa Pershmerga walijeruhiwa. Wanajeshi wawili wako katika hali mbaya.
Uturuki yafanya mashambulizi mengine dhidi ya wakurdi Iraq
Uturuki inalichukulia kundi la PKK kuwa kundi la kigaidi na imekuwa ikipambana nalo kwa miaka sasa.
Jeshi la Uturuki limefanya mashambulizi ya anga Iraq
Jeshi la Uturuki limefanya mashambulizi ya anga Iraq,
Uturuki yadai kuwauwa wapiganaji wengi wa PKK
Chama cha PKK kimeorodheshwa kama kundi la kigaidi na Uturuki, Marekani na Umoja wa Ulaya.
Uturuki yawaandama PKK kufuatia mashambulizi Ankara
Wapiganaji wawili wa Kikurdi waliripua bomu kwenye majengo ya wizara ya ndani ya Uturuki mjini Ankara.
Iran, Iraq zakubaliana kupambana na 'magaidi' Kurdistan
Iran na Iraq zitayang'anya silaha na kuyahamisha yale zinazoyaita 'makundi ya kigaidi' katika jimbo la Kurdistan.
Kampeni za uchaguzi zapamba moto nchini Uturuki
Uchaguzi huu ni changamoto kubwa kwa rais Erdogan ambaye utawala wake kwa sasa unakabiliwa na matatizo ya kiuchumi.
Uturuki yawakamata watu 110 kwa madai ya kigaidi
Polisi ya Uturuki imewakamata watu 110 kwa madai yanayofungamana na kundi la kigaidi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 5
Ukurasa unaofuatia