1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi - 28.09.2019

TSA / S08S28 Septemba 2019

Raia nchini Afghanistan wanapiga kura ya kumchagua rais huku kukiwa na kitisho cha usalama. Mwakilishi Maalum wa Marekani kwa Ukraine Kurt Volker amejiuzulu. Mkenya Ruth Chepngetich ameshinda mbio za marathon kwa wanawake duniani.

https://p.dw.com/p/3QOCM